Sera ya Faragha · Privacy Policy
Ilisasishwa mwisho: 16 Septemba 2026 · English version below
1. Utangulizi
Sera hii ya Faragha inaeleza jinsi Lilac Labs (chapa ya Camp Lilac Mikumi Company Limited; “sisi”, “yetu”) inavyokusanya, kutumia, kuhifadhi na kulinda taarifa zako binafsi unapotembelea au kununua kutoka lilaclabs.shop (“Tovuti”).
Kwa kutumia Tovuti yetu, unakubali taratibu zilizoelezwa katika Sera hii ya Faragha.
2. Taarifa Tunazokusanya
Tunaweza kukusanya aina zifuatazo za taarifa:
a) Taarifa binafsi
- Jina kamili
- Namba ya simu
- Barua pepe (ukitupatia)
- Anwani au eneo la kukuletea mzigo na taarifa za malipo
- Maelezo ya oda na miamala
b) Taarifa za malipo
Malipo huchakatwa kwa usalama kupitia watoa huduma wa malipo wa nje (kwa mfano M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au benki). Hatuhifadhi wala hatuna ufikiaji wa taarifa kamili za kadi au akaunti yako ya malipo.
c) Taarifa za kiufundi na za matumizi
- Anwani ya IP
- Aina ya kivinjari na taarifa za kifaa
- Kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye Tovuti
Taarifa hizi hutusaidia kuboresha utendaji wa tovuti na uzoefu wa mtumiaji.
3. Jinsi Tunavyotumia Taarifa Zako
Tunatumia taarifa zako ili:
- Kuchakata na kukamilisha oda zako
- Kuwasiliana nawe kuhusu ununuzi wako (kwa simu, SMS au WhatsApp)
- Kutoa huduma kwa wateja
- Kuboresha bidhaa, huduma na tovuti yetu
- Kutimiza matakwa ya kisheria na ya kikanuni
- Kuzuia udanganyifu na matumizi yasiyoruhusiwa
Hatuuzi wala hatukodishi taarifa zako binafsi kwa wahusika wa tatu.
4. Kushiriki Taarifa Zako
Tunaweza kushiriki taarifa zako tu na wahusika wa tatu wanaoaminika ambao ni muhimu kwa uendeshaji wa biashara yetu, wakiwemo:
- Watoa huduma wa malipo
- Huduma za usafirishaji na uwasilishaji (madereva wetu na makampuni ya mabasi)
- Watoa huduma wa kuhifadhi tovuti (hosting) na uchambuzi (analytics)
Wahusika hawa wanatakiwa kulinda taarifa zako na kuzitumia kwa madhumuni yaliyokusudiwa tu.
5. Uhifadhi na Usalama wa Taarifa
Tunatumia hatua zinazofaa za kiutawala, kiufundi na kimwili kulinda taarifa zako binafsi dhidi ya kupotea, kutumiwa vibaya, kufikiwa au kufichuliwa bila ruhusa.
Ingawa tunachukulia usalama kwa uzito mkubwa, hakuna njia ya kutuma taarifa kupitia intaneti iliyo salama kwa asilimia 100.
6. Muda wa Kuhifadhi Taarifa
Tunahifadhi taarifa zako binafsi kwa muda unaohitajika tu ili:
- Kutimiza madhumuni yaliyoelezwa katika sera hii
- Kutimiza wajibu wa kisheria, wa kihasibu au wa kikanuni
- Kutatua migogoro na kutekeleza makubaliano yetu
7. Haki Zako
Kulingana na sheria zinazotumika, unaweza kuwa na haki ya:
- Kuomba kuona taarifa zako binafsi tulizonazo
- Kuomba kusahihishwa kwa taarifa zisizo sahihi
- Kuomba kufutwa kwa taarifa zako binafsi (kwa kuzingatia wajibu wa kisheria)
- Kujiondoa kwenye mawasiliano ya masoko
Ili kutumia haki hizi, tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano yaliyo hapa chini.
8. Vidakuzi (Cookies) na Teknolojia za Ufuatiliaji
Tunaweza kutumia vidakuzi na teknolojia zinazofanana ili:
- Kuwezesha utendaji muhimu wa tovuti
- Kuchambua trafiki na utendaji wa tovuti
- Kuboresha uzoefu wa mtumiaji
Unaweza kudhibiti au kuzima vidakuzi kupitia mipangilio ya kivinjari chako.
9. Viungo vya Wahusika wa Tatu
Tovuti yetu inaweza kuwa na viungo vya tovuti za wahusika wa tatu. Hatuwajibiki kwa taratibu za faragha au maudhui ya tovuti hizo, na tunakushauri usome sera zao za faragha.
10. Faragha ya Watoto
Tovuti na bidhaa zetu hazikusudiwi kwa watu walio chini ya umri wa miaka 18. Hatukusanyi kwa makusudi taarifa binafsi kutoka kwa watoto.
11. Mabadiliko ya Sera hii ya Faragha
Tunaweza kusasisha Sera hii ya Faragha mara kwa mara. Mabadiliko yoyote yatawekwa kwenye ukurasa huu pamoja na tarehe mpya ya “Ilisasishwa mwisho”. Kuendelea kutumia Tovuti kunamaanisha unakubali sera iliyosasishwa.
12. Mawasiliano
Ukiwa na maswali au wasiwasi wowote kuhusu Sera hii ya Faragha au jinsi taarifa zako zinavyoshughulikiwa, tafadhali wasiliana nasi:
- 📱 WhatsApp: +255 765 457 942
- 🏢 Camp Lilac Mikumi Company Limited (Lilac Labs), Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania
English version
Last updated: 16 September 2026
1. Introduction
This Privacy Policy explains how Lilac Labs (“we”, “us”, “our”) collects, uses, stores, and protects your personal information when you visit or make a purchase from lilaclabs.shop (the “Site”).
By using our Site, you agree to the practices described in this Privacy Policy.
2. Information We Collect
We may collect the following types of information:
a) Personal Information
- Full name
- Phone number
- Email address
- Shipping and billing address
- Order and transaction details
b) Payment Information
Payments are processed securely through third-party payment providers.
We do not store or have access to your full card or payment details.
c) Technical & Usage Information
- IP address
- Browser type and device information
- Pages visited and time spent on the Site
This information helps us improve website performance and user experience.
3. How We Use Your Information
We use your information to:
- Process and fulfill orders
- Communicate with you about your purchase
- Provide customer support
- Improve our products, services, and website
- Comply with legal and regulatory requirements
- Prevent fraud and unauthorized activity
We do not sell or rent your personal data to third parties.
4. Sharing Your Information
We may share your information only with trusted third parties necessary to operate our business, including:
- Payment processors
- Delivery and courier services
- Website hosting and analytics providers
These third parties are required to protect your data and use it only for the intended purpose.
5. Data Storage and Security
We implement reasonable administrative, technical, and physical safeguards to protect your personal information against loss, misuse, unauthorized access, or disclosure.
While we take security seriously, no method of transmission over the internet is 100% secure.
6. Data Retention
We retain your personal information only for as long as necessary to:
- Fulfill the purposes outlined in this policy
- Comply with legal, accounting, or regulatory obligations
- Resolve disputes and enforce our agreements
7. Your Rights
Depending on applicable laws, you may have the right to:
- Request access to your personal information
- Request correction of inaccurate data
- Request deletion of your personal data (subject to legal obligations)
- Withdraw consent to marketing communications
To exercise these rights, please contact us using the details below.
8. Cookies and Tracking Technologies
We may use cookies and similar technologies to:
- Enable essential website functionality
- Analyze website traffic and performance
- Improve user experience
You can control or disable cookies through your browser settings.
9. Third-Party Links
Our Site may contain links to third-party websites.
We are not responsible for the privacy practices or content of those websites and encourage you to review their privacy policies.
10. Children’s Privacy
Our website and products are not intended for individuals under the age of 18.
We do not knowingly collect personal information from children.
11. Changes to This Privacy Policy
We may update this Privacy Policy from time to time.
Any changes will be posted on this page with an updated “Last updated” date. Continued use of the Site constitutes acceptance of the updated policy.
12. Contact Information
If you have any questions or concerns about this Privacy Policy or how your information is handled, please contact us at:
- 📱 +255 765 457 942
- 📍 Camp Lilac Mikumi Company Limited (Lilac Labs), Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania