Wasiliana nasi

Njia ya haraka zaidi ni WhatsApp. Tuandikie na tutakujibu ndani ya saa za kazi.

๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0765 457 942
๐Ÿ“ž Simu za kuthibitisha oda: 0761 389 838 (Nasrah) au 0654 226 299 (Goodluck) โ€” wanakupigia kutoka namba hizi baada ya kuweka oda. Hifadhi namba zote mbili kama Lilac Labs.
๐Ÿข Ofisi: Mbezi Beach, Dar es Salaam โ€” Goba Road, karibu na Massana Hospital
๐Ÿ•˜ Saa za kazi: saa 3 asubuhi hadi saa 1 usiku (9:00 โ€“ 19:00)

๐Ÿ› Kampuni: Camp Lilac Mikumi Company Limited (Lilac Labs) ยท BRELA Na. 167521584 ยท TIN 167-521-584 ยท Daytime Slimming: TBS/DQM/PROD/F/DSZ/2026/226

๐Ÿ’ณ Malipo: Lipa Namba 16429521 (jina: LILAC LABS) โ€” Mixx by Yas; inapokea M-Pesa, Airtel Money, Halopesa na benki (TIPS). Dar es Salaam, Arusha na Dodoma unalipa ukipokea; mikoa mingine unalipa baada ya mzigo kupanda basi na kupata picha ya risiti.

โœ… Dhamana ya siku 30: Ukikosa matokeo ndani ya siku 30, tuandikie WhatsApp na tunakurudishia pesa โ€” hakuna haja ya kurudisha chupa. Soma sera kamili.